Wednesday, February 21, 2024

Afisa Mauzo at Wadsworth Distributors (T) Limited 2024

  AjiraLeo Tanzania       Wednesday, February 21, 2024
AJIRA LEO TANZANIA
Wadsworth Distributors (T) Ltd
Jobs in Tanzania 2024: New Job Vacancies at Wadsworth Distributors (T) Ltd 2024
Wadsworth Distributors (T) Limited Jobs 2024
WADSWORTH DISTRIBUTORS (T) LTD.
Cheo – Afisa Mauzo
Aina ya biashara – Usambazaji wa bidhaa
Kampuni – Wadsworth Distributors (T) Ltd
Eneo – Dar Es Salaam

KUHUSU KAMPUNI:
Wadsworth Distributors (T) Ltd ni kati ya makampuni malubwa nchini Tanzania yanayotoa huduma ya usambazaji bidhaa zinazotumika nyumbani na Uzoefu wetu ni zaidi ya miaka 50 kwenye biashara hii.

MAELEZO YA NAFASI YA KAZI
Wadsworth Distributors (T) Ltd ina nafasi muhimu kwenye Idara ya Masoko na Mauzo. Tunatafuta mtu mwenye ujuzi na uzoefu sahihi kwenye biashara ua usambazaji bidhaa za nyumbani (FMCG) ndani ya Mkoa wa Dar Es Salaam.

Muombaji atakayefanikiwa kupita atawajibika kwa Msimamizi wa Mauzo wa Kanda.

MAJUKUMU:

1. Kuuza bidhaa zinazosambazwa na kampuni.
2. Kutafuta wateja wapya wa kununua bidhaa za kampuni mwajiri.

SIFA ZA MWOMBAJI
1. Awe na uzoefu wa mauzo kwenye eneo la FMCG,siyo chini ya miaka miwili.
2. Awe anajua kuendesha magari aina ya manual.
3. Awe ana umri kati ya miaka 25–35.
4. Awe mwenye kujituma na mchapa kazi.

Maombi yote yatumwe kwa njia zifuatazo
1. Kuleta CV katika Ofisi zetu zilizopo Kurasini – Tanesco Block NO. 28
2. Kutumia email ifuatayo: abigail@wadsworth.co.tz

Tarehe ya Mwisho
Tarehe ya mwisho ya kutuma maombi ni 23/02/2024.
logoblog

Thanks for reading Afisa Mauzo at Wadsworth Distributors (T) Limited 2024

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment