TRA: Cheki Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili TRA Machi 2025
💥MASWALI 200+ YA USAILI TRA+OTHER UPDATES. CLICK HERE!💥
💥UNASUBIRI NINI? FOLLOW US ON INSTAGRAM. CLICK HERE!💥
Ajira Mpya TRA 2025 - New Government Jobs at TRA 2025Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili TRA Machi 2025
TRA: Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Mamlaka ya Mapato Tanzania yametoka rasmi. Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Moshi Jonathan Kabengwe amesema majina ya waombaji wa ajira 1,596 za TRA zilizotangazwa hivi karibuni yametolewa rasmi leo hii tarehe Machi 22.2025 kwa ajili ya usaili wa kuandika utakaofanyika Machi 29 na 30 mwaka huu kwenye vituo 9.
Read Also:
- NEW TANZANIAN JOBS, INTERNSHIPS AND VOLUNTEERING OPPORTUNITIES 2025 (1,475 POSTS)
- CHECK SCHOLARSHIPS OPPORTUNITIES TO STUDY ABROAD CLICK HERE!
- Download Your National ID (NIDA) Number Here | Download NAMBA NA KITAMBULISHO CHAKO CHA NIDA. BONYEZA HAPA!
- PAST PAPERS ZA DARASA LA 7 MPAKA FORM SIX | NECTA AND MOCK EXAMS 1988 - 2019. CLICK HERE!
- Free CV Writing and Download, Cover/Job Application Letters, Interview Questions and It's Best Answers plus Examples. Click Here!
TRA: Cheki Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili TRA Machi 2025
CHECK
MAJINA YOTE AND ADDITIONAL DETAILS: Follow the link below to read full
details with all names called for interview TRA March 2025.....
Official Released Date: 22nd March 2025.
DOWNLOAD PDF FILE HERE!
Official Released Date: 22nd March 2025.
DOWNLOAD PDF FILE HERE!
Vituo vya Usaili TRA kwa Watakaoitwa Kwenye Interview Mamlaka ya Mapato Tanzania Leo
Bw. Kabengwe amesema usaili huo utafanyika kwenye Mikoa 8 na Zanzibar ambayo ni:1. Dar es Salaam ambayo itahusisha waombaji kutoka Dar es Salaam na
Pwani.
2. Zanzibar ambayo itahusisha waombaji kutoka Unguja na Pemba
3. Arusha ambayo itahusisha waombaji kutoka Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga
4. Dodoma ambayo itahusisha waombaji kutoka Morogoro, Dodoma, Singida, Iringa na Tabora
5. Mtwara ambayo itahusisha waombaji kutoka Mtwara, Lindi na Ruvuma
6. Mbeya ambayo itahusisha waombaji kutoka Mbeya, Songwe na Rukwa
7. Mwanza ambayo itahusisha waombaji kutoka Mwanza, Shinyanga, Mara na Simiyu
8. Kagera ambayo itahusisha waombaji kutoka Kagera na Geita na
9. Kigoma ambayo itahusisha waombaji kutoka Kigoma na Katavi.
No comments:
Post a Comment