Friday, March 21, 2025

Wafungaji Bora Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) 2024/25

  AjiraLeo Tanzania       Friday, March 21, 2025
Wafungaji Bora Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) 2024/2025
Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) 2024/2025
Wafungaji Bora Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) 2024/2025
Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) kwa msimu wa 2024/2025 imekuwa na ushindani mkali, huku wachezaji mbalimbali wakionyesha uwezo wa hali ya juu katika kufumania nyavu. Katika makala hii, tunakuletea orodha ya wafungaji bora wa ligi hii kwa mujibu wa takwimu rasmi zilizopo hadi sasa. Wafuatao ni Wanaoongoza kwa ufungaji Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) 2024/2025.
READ ALSO:

Wafungaji Bora Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) 2024/2025

Wafungaji Bora Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2024/2025

Nafasi Mchezaji Mabao
1 Stumai Abdallah 21
2 Jentrix Shikangwa 17
3 Neema Paul 12
4 Winfrida Hubert 7
5 Asha Djafari 5
6 Elizabeth Wambui 5
7 Donisia Minja 5
8 Zainabu Mohamed 5
9 Amina Ramadhani 5
10 Margret Kunihira 5
logoblog

Thanks for reading Wafungaji Bora Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) 2024/25

No comments:

Post a Comment